

Ofisa Mawasiliano wa Kampuni ya African Barrick Gold, Blandina Munghenzi, Kocha Mkuu wa Chama cha Tennis, Boazi Mwakyusa, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya Sh milioni 20 kwa Chama cha mpira wa Tennis Tanzania, kwa ajili ya kufanya ukarabati wa Viwanja vinne (4) vya mchezo huo vilivypo Isamilo Mkoa wa Mwanza. Hafla hiyo ya makabidhiano ilifanyika kwenye Ofisi za Barrick Masaki leo. Kushoto ni Mhariri wa Jarida la ‘Tanzania Tennis Magazine’, Simbiso Machine.
No comments:
Post a Comment