Pamoja na jitihada kibao za Manispaa za jiji kuweka vifaa vya kuhifadhia taka katika baadhi ya maeneo ya jiji hili, lakini bado Wananchi hawana utaratibu wa kujizoesha kutumia vifaa hivyo kama picha hii inavyoonesha, pamoja na kuwapo kifaa cha kuhifadhia taka lakini bado watu wasiojulikana wamefika mahala hapa na kutupa taka zao mtaroni na pembeni mwa kifaa hicho. Je namna hii tutafika kweli na jitihada za kuweka jiji safi?
KAMATI YA BUNGE YA PIC YAGUSA MCHANGA UNAOHAMA
-
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji kwa Umma mwishoni mwa wiki
iliyopita imetembelea eneo la hifadhi ya Ngorongoro ambapo pamoja na mambo
meng...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment