Hili ni moja kati ya jengo lenye maduka kibao katika Mtaa wa Nyawezi Kariakoo, kama linavyoonekana katika picha. Je utaratibu huu utafuatwa na wafanyabiashara wa Bongo kwa kutopanga bidhaa zao nje ya maduka ili kunguza msongamanao wa wateja na vurugu za wafanyabiashara za mkononi? Katika picha hii tayari wenye maduka haya wameshavunja utaratibu huo kwa kupanga biashara zao nje ya maduka yao.
Bandari ya Dar es Salaam: haijauzwa imekodishwa kwa tija
-
Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ametoa ufafanuzi mzito na wa
kina mbele ya vyombo vya habari leo katika Bandari ya Dar es Salaam,
akion...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment