Wafanyabishara wa maji wakikokota matoroli yao kutokea maeneo ya Ubalozi kuelekea maeneo ya Kinondoni kwa ajili ya kuuza kwa wakazi wa maeneo hayo. Kutokana na tatizo la upatikanaji wa maji ya Bomba katika maeneo mengi ya jijini wafanyabishara hao wamekuwa wakipandisha bei ya maji ambapo dumu moja huuzwa hadi Sh. 500.
Bandari ya Dar es Salaam: haijauzwa imekodishwa kwa tija
-
Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ametoa ufafanuzi mzito na wa
kina mbele ya vyombo vya habari leo katika Bandari ya Dar es Salaam,
akion...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment