Mwenyekiti wa Bodi ya KCB Tanzania, Dk Edmund Mndolwa (Kulia) akizungumza na wafanyabiashara wa Afrika Mashariki (hawapo pichani) waliohudhuria hafla ya chakula cha pamoja kwa wafanyabiashara wa Afrika Mashariki waliopo Tanzania iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana usiku. Katikati ni Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Fatma Ndagiza na Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania, Joram Kiarie.
KAMATI YA BUNGE YA PIC YAGUSA MCHANGA UNAOHAMA
-
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji kwa Umma mwishoni mwa wiki
iliyopita imetembelea eneo la hifadhi ya Ngorongoro ambapo pamoja na mambo
meng...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment