Habari za Punde

*SUFIANIMAFOTO AKITOA DARASA KWA WADAU KUHUSU UKURASA WAKE WA BLOG

Mmiliki wa Blog ya Sufianimafoto, Muhidin Sufiani (katikati) akitoa darasa kuhusu Ukurasa wake katika Blog, akiwaelekeza jinsi ukurasa huo unavyoweza kufanya kazi kuanzia upatiakanaji wa matukio hadi kuyaupload. Kushoto ni mpigapicha wa ITV (wapili kulia) ni Godfrey Monyo wa ITV na Mhariri wa Jarida wa Tanzania Tennis, Simbiso Mchine.

Si unaona sasa inavyokuwa baada ya kuupload?, Ahaa! kumbe ndo unavyofanya sasa nimekuelewa...
Hebu anza upya sikuwepo sijaelewa eheee, unafanyaje kupost matukio?
Ebwana eeh! ngoja kwanza mbona hapa inafanya hivi ukipost?
Monyo akiwa na fimbo ya kipedezyee, amedai ameipata Loliondo baada ya kufika na kukosa kikombe Babu aliamua kumpa Bakora hiyo ili kuwa kinga yake badala ya Kikombe cha dawa.





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.