Mkurugenzi wa Kampuni ya Agumba Computers Ltd, Paul Koyi (kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada wa kompyuta na vifaa vyake vyenye thamani ya Sh milioni 2.5, Mwalimu wa kujitolea wa Shule ya Sekondari ya Kibiti, Duffie Taylor, kwa ajili ya matumizi ya shule hiyo. Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwalimu wa Hesabu na Kompyuta wa shule hiyo, Njali Hussein.
WAZIRI KIJAJI AITAKA TANAPA KUONGEZA UBUNIFU KUKUZA UTALII NCHINI
-
Na Mwandishi Wetu, Morogoro
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), ameagiza
Uongozi wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kuonge...
7 minutes ago
No comments:
Post a Comment