Baadhi ya magari ya Serikali yakiwa yameegeshwa chini ya kibao kilicho na tangazo linalozuia kuegesha magari eneo hilo katika Barabara ya Ofisi za Bunge. Haikuweza kufahamika kama tangazo hilo linahusu magari yote au ni ya kiraia pekee kutokana na kibao hicho kutoandika kuhusiana na tofauti ya magari yanayozuiliwa kuegeshwa eneo hilo.
CPA MAKALLA:CCM HAITAJI KUBEBWA, MBELEKO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
-
Na Mwandishi Wetu.
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC),
Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema CCM haihitaji...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment