Askofu Severene Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge, akimpaka majivu, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati wa ibada fupi iliyofanyika kwenye makazi ya Askofu wa Ngara leo. Mheshimiwa Pinda yuko kwenye zaiara ya Mkoa wa Kagera. Picha na Ofisi ya Waziri MkuuAskofu Severene Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge akimpaka majivu mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda katika ibada fupi iliyofanyika kwenye makazi ya Askofu wa Ngara.
TUJITOKEZE KUPIGA KURA, TUACHE PROPAGANDA ZISIZO NA MAANA
-
Na Emmanuel Mbatilo, Michuzi Tv- 0673956262
TUKIWA katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,
2025, kumekuwa na hali tofauti kutoka...
45 minutes ago
No comments:
Post a Comment