Viongozi wa CHADEMA kutoka kushoto, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Hamad Mussa Yussuf Dadi Kombo Maalim (katikati) na Graison Nyakarungu, Mwasisi wa kampeni 'Washataa mchana' wakiwa katika harakati za kuuchoma moto mswada wa sheria ya kuanzisha Tume ya Mapitio ya Katiba Tanzania wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti Zanzibar mjini Zanzibar leo.
Waziri Kombo akutana na Balozi wa Zambia nchini
-
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya
Zambia nchi...
28 minutes ago
No comments:
Post a Comment