Jioni hii Kamati Kuu ya CCM imetaja majina mapya ya viongozi walioteuliwa kushika uongozi wa chama hicho ikiwamo ya Katibu Mkuu, ambapo ameteliwa Willson Mukama, na nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Bara ikichukuliwa na Abdulrahman Kinana, huku nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi, ikichukuliwa na Bwana mdogo Nape Nnauye.
Nafasi nyingine ni Katibu wa Uchumi na Fedha:- Bi Zakhia Megji. Katibu wa Oganaizesheni:- Bi Rehema Nchimbi.
No comments:
Post a Comment