Habari za Punde

*UMOJA WA WAKAZI WA MAGOMENI MZIMUNI WATOA MSAADA WA VYOMBO KWA KITUO CHA YATIMA CHA UMRA

Mjumbe wa Umoja wa Wakazi wa Mtaa wa Mzimuni Magomeni, Dar es Salaam, Ramadhan Mohamed (kushoto) akimkabidhi msaada wa vyombo na sabuni Mkurugenzi wa kituo cha kulelea yatima na watoto waishio katika mazingira magumu cha Umra, Rahma Juma, kwa ajili ya watoto wa kituo hicho wapatao 65. Makabidhiano hayo yalifanyika kituoni hapo leo mchana. Katikati ni mjumbe wa umoja huo, Shaban Kiate na (kulia) pia ni mjumbe Ricco Baadhi ya watoto wa kituo hicho wakibeba maboksi yenye vyombo hivyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.