Julius alisema kuwa Chama hicho kinaungana na wananchi waliotoa maoni yao na kupinga mswada wa marejeo ya Katiba mpya uliochapishwa katika gazeti la Serikali Na1 Vol.92 la taerehe 11 Machi 2011.
HALMASHAURI YA MERU YAJIVUANIA BOOST KUWEZESHA UTEKELEZAJI WA SERA YA ELIMU
-
Kupitia Program ya BOOST, Halmashauri ya Wilaya ya Meru mkoani Arusha,
imepokea jumla ya Sh. Bilioni 2 na milioni 71 ambayo imewezesha ujenzi wa
miundombin...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment