Uongozi pamoja na wa Wafanyakazi wa Kiwanda hicho, kinachotengeneza Mafuta na Sabuni ambacho ni moja ya makampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL) leo wamejitolea kuchangia damu ikiwa ni kutikia wito kutokana na kupungua kwa akiba ya damu katika benki ya damu nchini Tanzania. Zoezi hilo limefanyika leo katika Kiwanda hicho kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam, huku wafanyakazi hao wakiongozwa na Meneja Mkuu Vekant Police.
Meneja mwajiri wa kampuni hiyo, Aneez Akbar, akipewa maelezo na mtaalam, Betty Swai, kabla ya kuchangia damu.
WAHITIMU TaSUBa WAHIMIZWA KUILINDA AMANI YA TANZANIA
-
Na MWANDISHI WETU, Bagamoyo
WAHITIMU wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), wamehimizwa
kuilinda amani nchini.
Akizungumza katika Mahafali ya...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment