Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, akiingia ndani ya ukumbi wa Bunge kuongoza kikao cha kwanza cha mkutano wa tatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo asubuhi mjini Dodoma.
Spika wa Bunge ,Anne Makinda akitoa ufafanuzi kwa wabunge kuhusu kanuni za uendeshaji wa shughuli za bunge leo mjini Dodoma..
Wabunge wakiwa katika kipindi cha maswali na majibu ndani ya mkutano wa huo leo mjini Dodoma. Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.
No comments:
Post a Comment