Mkurugenzi wa Maji Mijini wa Wizara ya Maji, Mary Mbowe (kulia), akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kisima cha maji cha Mzinga A, kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), katika eneo la Kitunda Nyangasa, Dar es Salaam jana.Kutoka kushoto ni Mhandisi Ujenzi wa TBL, John Malisa, Mwenyekiti wa mradi huo, Rashid Nandonde na Meneja Miradi Maalumu wa TBL, Emma Orio.Mkazi wa Kitunda Nyangasa, Dar es Salaam, Pili Khamis, akifurahi kupata maji baada ya Mkurugenzi wa Maji Mijini wa Wizara ya Maji, Mary Mbowe (kulia) kuzindua kisima cha maji cha Mzinga A, kilichojengwa kwa sh. milioni 27 zilizotolewa msaada na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
MASHUJAA YAIKUNG’UTA FOUNTAIN GATE 3-0 KIGOMA
-
WENYEJI, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain
Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake
Tanganyi...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment