Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mizingani Wambaa, yenye urefu wa Kilometa 9.7 kutoka kwa Injinia Gaitano Musuku, (kushoto kwake) wakati alipotembelea na kukagua akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali kwenye mikoa ya Kaskazini na Kusini Pemba leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akikagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mizingani Wambaa, inayojengwa kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Kilomita 9.7, wakati alipofika Mkoa wa Kusini Pemba leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiangalia maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mizingani Wambaa, yenye urefu wa Kilometa 9.7 inayoendelea kujengwa.

*DKT BILAL AKITETA NA WANAFUNZI WA SKULI YA MJIMBINI KUSINI PEMBA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mjimbini iliyopo Mkoa wa Kusini Pemba, wakati akiwaaga baada ya kuweka jiwe la Msingi katika shule hiyo leo, akiwa katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali kwenye mikoa ya Kaskazini na Kusini Pemba.
Wanafunzi wa Kidato cha pili katika shule ya Sekondari Kangani iliyopo Mkoa wa Kusini Pemba, Siti Said Ali (kushoto) na Feda Ali Othman, wakiimba utenzi wenye ujumbe ikiwa ni sehemu ya burudani wakati Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, alipofika Shule ya Msingi Mjimbini kuweka jiwe la Msingi leo.
Wasanii wa Kikundi cha ngoma Mjimbini, wakiimba na kucheza miondoko ya Dahra, wakati wakitoa burudani mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, alipofika shule ya msingi Mjimbini mkoa wa Kusini Pemba kuweka Jiwe la msingi,

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mjimbini, wakishangilia kufurahia hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, alipofika shuleni hapo kuweka jiwe la msingi.
No comments:
Post a Comment