Washitakiwa katika kesi ya Epa ya wizi wa Sh bilioni 1.8 katika Akaunti ya madeni ya nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Farijala Hussein (kushoto) na Rajabu Maranda (kulia) Wakiwa ndani ya gari la Polisi wakipunga mikono kuwaaga ndugu na jamaa wakati wakitoka kwenye Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam leo mchana tayari kwa safari ya kuelekea rumande baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka mitano.Picha na Mtandao wa Issa Michuzi Washitakiwa hao wakitoka Mahakamani kuelekea kwenye magari kwa ajili ya safari ya kuelekea rumande.
Washitakiwa hao wakitafakari wakati wakiwa ndani ya gari walilopandishwa kuelekea rumande.
Washitakiwa hao wakipandishwa katika gari la Polisi tayari kwa safari hiyo ya kwenda kuanza kutumikia kifungo cha miaka mitano, huku mapaparazi wakiwa bize kunasa picha za tukio hilo.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
NBAA YATANGAZA MATOKEO YA MITIHANI YA MEI, 2025
-
Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu
(NBAA) katika kikao chake cha 198 kilichofanyika chini ya Mwenyekiti wake
CPA. Pr...
BONANZA LA NMB KIJIJI DAY YAFANA NGORONGORO
-
Na Mwandishi Wetu.Ngorongoro,Arusha.
Benki ya NMB kupitia kampeni yake ya NMB Kijiji Day imefanya shughuli
mbalimbali za kijamii katika tarafa ya Lolion...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment