Miss Iringa 2011, Christina William (katikati) akiwa na washindi wenzake, mshindi wa pili, Justine (kulia) na Zay Mselemu, mshindi wa tatu, baada ya kutangazwa washindi katika shindano lililofanyika usiku wa kuamka leo mkoani Iringa. Nafasi ya nne imechukuliwa na Happyness James na yatano imechukuliwa na Jackline Erick. Picha na Francis Godwin, Iringa
Christina William, akifurahia na kuonyesha kitita chake baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhia zawadi yake.
Christina William, akifurahia na kuonyesha kitita chake baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhia zawadi yake.
Ofisa wa Vodacom, Salum Mwalimu, akipozi kwa picha na mshkaji wake wakati wakiwa ndani ya ukumbi huo wakishuhudia shindano hilo.
Warembo waliofanikiwa kuingia katika nafasi tano bora za shindano hilo wakijieleza na kujibu maswali baada ya kufika katika hatua hiyo.
Burudani pia haikuwa nyuma katika kusherehesha shindano hilo, hapa ni shabiki wa miondoko ya Taarab, ambaye hakuweza kufahamika jina lake akisebeneka na miondoko ya taaraba ya Khadija Kopa jukwaani.
No comments:
Post a Comment