Waziri Mkuu wa India Mhe. Dkt. Manmohan Singh (katikati) akisalimiana na Mbunge wa Singida Mjini Mhe. Mohammed Dewji, katika hafla fupi ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Balozi wa India nchini katika Hoteli ya Kempinski jijini Dar hivi karibuni. Wa kwanza kushoto ni Mke wa waziri Mkuu wa India Mama Gursharan Kaur.
Zawadi Ligi ya Muungano Kuboreshwa
-
Na; Mwandishi Wetu, Unguja
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf
Masauni amesema msimu ujao wa Ligi ya Muungano utaboreshw...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment