Mwenyekit wa WAMA Mama Salma Kikwete (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Camfed Tanzanaia Dr. Stella Bendera, baaada ya hafla ya ufunguzi ya mkutano wa wadau wote wa Umoja wa nchi za Ulaya kwa Camfed Tanzania chini ya radi jana jijini Dar es Salaam. Picha na Mwnakombo Jumaa -MAELEZO
Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete (kushoto) akisalimiana na wadau mbalimbali waliohudhuria mkutano huo, wakati akiingia kwenye ukumbi wa Karimjee kufungua mkutano huo.
Baadhi ya wadau na wafadhili walioshiriki katika mkutano huo wa wadau wote chini ya mradi wa Umoja wa nchi za Ulaya (EUROPEAN COMMISSION) kwa CAMFED Tanzania.
No comments:
Post a Comment