Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Asha rose Migiro, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye Hoteli Intercontinental, alipofikia Makamu New York, jana Wa pili kushoto ni mke wa Makamu wa Rais Mama Zakhia Bilal na Naibu Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dkt. Asha Rose Migiro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dkt. Asha Rose Migiro.
Picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Tanzania waliohudhuria mkutano huo, New York, baada ya shughuli hiyo ya mazungumzo.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
Tanzania Yapata Medali ya Dhahabu Apimondia 2025
-
Tanzania imepata heshima kubwa ya kimataifa baada ya kutunukiwa Medali ya
Dhahabu katika Kongresi ya 49 ya Apimondia iliyofanyika katika ukanda wa
Scandina...
Simbu Ateka Mitaa ya Jiji la Dar es Salaam
-
[image: WhatsApp%20Image%202025-09-23%20at%2019.48.18]
[image: WhatsApp%20Image%202025-09-23%20at%2019.48.19]
[image: WhatsApp%20Image%202025-09-23%20at...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment