Hawa ni baadhi tu ya wazee wastaafu wa Jeshi la Watu wa Jamhuri ya Congo Brazzaville, kila mmoja akiwa na kitita chake mkononi katika moja ya mtaa wa Brazzaville, wakisubiri wateja wa kuwachenjia fedha tofauti na wabongo tulivyozoea ambavyo tumekuwa tukiona shughuli kama hiii ikifanywa katika sehemu maalum na hasa zilizo na usalama wakutosha. Lakini wazee hawa kwa raha zao wanajiamini mwanzo mwishi na pindi unapofika kutaka chenji unaona Mzee akizama katika Soksi na kuibuka na kitita kisha kuanza kukuhesabia tena kwa kiasi chochote utakachohitaji na iwe dola ama fedha ya Kikongo na fedha za baadhi ya nchi za karibu zilizo na mzunguko mkubwa nchini kwao.
TANZANIA NA MAREKANI ZAJA NA MAPINDUZI MAKUBWA KWENYE SEKTA YA AFYA
-
Serikali ya Tanzania imekubaliana na Chama cha Wafanyabiashara cha Marekani
(U.S. Chamber of Commerce) mjini Washington, D.C., kutekeleza kwa mkakati
...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment