Kazi ni kazi na hasa ukiiheshimu na kuamini kuwa ndiyo inayokufanya kuishi, kama jamaa huyu ni mshina viatu tu yaani Shoe Shine wa jijini Iastanbul Uturuki, cheki mazingira ya ofisi yake ya kufanyika kazi ya kushona viatu ilivyosafi na inayovutia. Jamaa huyu aliyejulikana kwa jina la James Bwana, alivutiwa na mazingira haya na kumkubari jamaa jinsi alivyo kuwa mbunifu wa kuipenda kazi yake kiasi kwamba akaamua tu kuketi mahala hapa na kumpatia ajira ya kumsafishia viatu jamaa huyu. Washona viatu wa Bongo hapa vipi??? jaribuni basi na nyie kuwa naubunifu kama huu kwani kiti kama hiki hakizidi 100,000 ambayo uanaweza kuwa umeiridisha ndani ya mwezi mmoja tu na hata mgambo pia anaweza kujiuliza mara mbilimbili kukutimua mahala utakapokuwa umeweka kijiwe chako. MAISHA NI UBUNIFU JAMANI.
VIJIJI 11 TARIME KUANZA KUPATA MAJI SAFI YA MRADI WA UPANUZI NYANGOTO
UNAOTEKELEZWA KWA FEDHA ZA BARRICK NORTH MARA
-
Matenki ya maji ambayo ni sehemu ya utekelezaji wa upanuzi wa chanzo cha
mradi utakuwa ukitoa huduma ya kwa vijiji vyote 11 vilivyo ndani ya mgodi
wa Nort...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment