Vijana wanadikiwa kuwa ni vibaka katika mitaa ya Manispaa ya Songea wakishikana mashati baada ya mmoja wao kuwadhurumu wenzake mgao wa fedha, baada ya kufaulisha tukio lao la uporaji na kufanikiwa kuuza. Sasa kazi ikwa ni uwiano wa mgao ndiyo chanzo cha kuanza kwa sakata hili la kushikana mashati na kuchapana hadaharani, haikuweza kufahamiaka tukio hilo la uporaji walilitenda katika mtaa gani na kwa mhusika gani. Picha Zote na Muhidin Amri,Songea
Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake, akiandaa biashara ya ke ya utumbo kama alivyokutwa na mpiga picha Muhidin Amri, mjini Songea jana. Wafanyabiashara hawa wamekuwa na utaratibu wa kufanya biashara kama hii katika maeneo hata ambayo si maalum kwa ajili ya biashara.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Chistine Ishengoma, akiwa ofisini kwake wakati akifanya kikako na watendaji wa ofisi yake na waandishi wa habari hivi karibuni. Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya mkoani Ruvuma wakiwa nje ya ukumbi wa Maliasili, wakati wakisubiri kikao cha Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais mazingira, Theresia Luoga, ambapo waandishi hao walisubiri kwa zaidi ya masaaa 4, katika ukumbi wa Maliasili mjini Songea jana.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
PAMBA JIJI NAYO YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB
-
TIMU ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kutinga Robo Fainali ya Kombe
la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya
CRDB ...
Meridianbet Yawafikia Wanawake Wajane Magomeni
-
KATIKA kuendelea kutambua umuhimu wa jamii, Meridianbet leo hii iliamua
kufunga safari na kuwatembelea wanawake wajane wanaopatikana mtaa wa
Magomeni ...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Simba Queens, Yanga Princess hapatoshi
-
BINGWA mtetezi wa Ngao ya Jamii, Simba Queens kesho inacheza na Yanga
Princess katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kwa soka la
wanawake Uwanja w...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment