Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa rais wa zamani wa Zambia, Frederick Chiluba, aliyefariki hivi karibuni. Makamu wa Rais alifika kuweka saini katika kitabu hicho kilichopo katika makazi ya Balozi wa Zambia nchini, jijini Dar es Salaam leo.
USWISI YAITOA COLOMBIA KWA MATUTA NA KUTINGA ROBO FAINALI
-
TIMU ya Uswisi imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Dunia baada ya
ushindi wa penalti 4-3 kufuatia sare ya bila mabao na Colombia ndani ya
dakika ...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment