Mbunge wa Chake Chake Pemba, Mwanahamis Said, ameanguka leo asubuhi Bungeni wakati Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mkoa wa Iringa, Deo Filikunjombe, akiwa anachangia Bajeti ya Serikali. Haikuweza kufahamika chanzo cha kuangua Mbunge huyo.
WATEJA WA BENKI YA CRDB WAFURAHIA HUDUMA WAKIJIZOLEA ZAWADI
-
Kampeni ya TUSHAVUKA HUKO ya Benki ya CRDB inaendelea kuvunja rekodi baada
ya wateja kutoa ushuhuda kuhusu maboresho makubwa ya mfumo na huduma za
be...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment