Habari za Punde

*MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA KAMPENI YA WA KILIMANI SESAME

Mwenyekiti wa Taasisis ya WAMA Mama Salma Kikwete akionyeshwa kitabu cha Chandarua Salama cha Kilimani Sesame, chenye kutoa elimu juu ya Malaria kutoka kwa Mwakilishi wa 'Zinduka- Malaria no More' bibi Sadaka Gandi, jijini leo. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.Picha ya pamoja baada ya uzinduzi huo.Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akiwasikiliza wanafunzi wa shule ya
msingi Kilimani Sesame na kujaribu kuwafundisha kitabu alichokizundua leo jijini Dar es Salaam cha CHANDARUA Salama cah Kilimani Sesame chenye kutoa elimu juu ya Malaria .Ugojwa wa. Malaria ya ni hatari husababisha vifo vingi kuliko ugojwa mwengine wowote nchini hususani kwa akina mama wajawazito na watoto ambao miili yao ni dhaifu.Mama Salma akiwafundisha wanafunzi hao. Mama Salma akiendelea kuwafunsha wanafunzi, kukumbukia enzi zake wakati akifundisha Shule ya Msingi Mbuyuni.Baadhi ya wageni walioshiriki katika uzinduzi wa kitabu wa Kilimani Sesame Kampeni ya Elimu ya Malaria ya,siku ya Mtoto wa Afrika leo jijini Dar es Salaam iliyozinduliwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete hayupo pichani.







No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.