Habari za Punde

*MISS SINZA WAJIFUA UFUKWENI KUJIANDAA NA SHINDANO

Baadhi ya warembo wanaotarajia kushiriki katika shindano la kumsaka Miss Sinza 2011, wakiwasili kwenye Ufukwe wa naniliu kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa na shindano hilo, ikiwa ni sehemu ya kambi yao.
Eti mrembo huyu naye akijaribu kupiga danadana ikiwa ni sehemu ya mazoezi.
Ni kama anacheza Dansi vile kumbe Soka!.....Warembo hao wakiwa katika mazoezi ya mchezo wa Soka ikiwa ni sehemu ya kurefresh...

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.