Habari za Punde

*TBL YASHIRIKI KUFANYA USAFI SIKU YA MAZINGIRA DAR

Ofisa habari wa Kampuni ya Bia ya TBL, Doris, akiongoza zoezi la kufanya usafi katika mtaa wa Barabara ya Uhuru nje ya Ofisi za kampuni hiyo jana mchana, ikiwa ni sehemu ya kushiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofikia kilele jana, ambayo kitaifa yalifanyika Mkoani Ruvuma.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakiendelea na zoezi hilo la usafi.
Doris, akisoma hotuba ya shukrani kwa niaba ya Kampuni hiyo baada ya zoezi hilo.
Mkuu wa wilaya ya Ilala, akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya kumaliza zoezi hilo la usafi.
Kikundi cha Sanaa kikitoa burudani mahala hapo kuwaburudisha wafanyakazi na watu walioshiriki katika zoezi hilo la usafi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.