Habari za Punde

*KAFULILA ACHAFUA HALI YA HEWA BUNGENI

Hali ya bungeni si shwari mchana huu mjengoni baada ya Mbunge Kafulila, kuchafua hali ya hewa kwa kauli yake kuwa Tanzania ni taifa 'omba omba' kauli iliyomchukiza Mwenyekiti wa kikao hicho aliyemtaka kufuta kauli yake hiyo kabla ya Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, kusimama na kuchafua zaidi hali ya hewa kwa wapinzani kwa kauli yake kuwa "kazi yao kupinga na watabaki kuwa wapinzani daima". 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.