Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (kulia) akizindua Nembo ya (HMT) kwaajili ya uzinduzi ya Taasisi ya Hassan Maajar Trust na kuanzisha kampeni ya kusaidia kutokomeza uhaba wa madawati mashuleni jijini Dar es Salaam leo (kushoto) ni Makamu Mwenyekiti wa Taasisis hiyo, Shariff Hassan Maajar ,akifuatiwa na Mwenyekiti wa HMT Balozi Mwanaidi Maajar. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Baadhi ya wageni walikwa katika hafla hiyo ya uzinduzi.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Amani DSM, Eliwaza Shirima, akichangia kwenye mkutano.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (kulia) leo akibadilishana mawazo na Seneta JACKIE WINTERS kutoka Marekani (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake jijii Dae re Salaam.
Wageni waalikwa washiriki katika uzinduzi wa Hassan Maajaar Trust.
Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na viongozi. (mwenye miwani) pamoja na Seneta Jackie Winters (nguo nyeupe) kutoka Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Western Oregon pamoja na walimu wao wakati walipomtembelea Mwenyekiti huyo ofisini kwake jijini Dar es Salam leo. Wanafunzi hao wanane watatembelea Mkoani Arusha katika baadhi ya vijiji vya Masai ambapo watashiriki katika kazi za kujutolea za shughuli za kijamii.
No comments:
Post a Comment