Wakazi wengi wa jijini Dar es Salaam, siku hizi wamekuwa wakitumia zaidi usafiri wa Bajaji kwa kila jambo iwe usafiri ama kuhamisha na kubebea mizigo ikiwa ni sehemu ya kukwepa bei kubwa inayotozwa na madereva wa Pick Up, lakini usafiri kama huu si salama na ni hatari kwa usalama wa abiria kama hivi walivyoning'inia juu ya Bajaji hiyo abiria hawa wakiwa na mizigo yao bila wasi wasi kama walivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto maeneo ya Kurasini Dar jana.
Meridian Bonanza, Mapinduzi ya Kubashiri Yaliyojaa Ushindi na Mbinu
-
MERIDIANBET imezindua rasmi mchezo wake mpya wa kusisimua maarufu kama Meridian
Bonanza, ambao tayari unatikisa jukwaa la michezo ya kubashiri nchini....
10 hours ago
No comments:
Post a Comment