Habari za Punde

*VODACOM KATIKA FUTARI MAALU NA WATEJA WAKE JIJINI DAR

Baadhi ya wateja wa Mtandao wa Vodacom, wakufurahia zawadi walizopata wakati walipohudhuria  futari maaalum iliyoandaliwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania kwa wateja wake iliyofanyika katika Hoteli ya Movenpick Dar es Salaam, jana.
Ofisa mwendeshaji Mkuuwa Vodacom Tanzania Petter Corrie (kulia) akisalimiana na mmoja wa wateja wa Kampuni hiyo walioalikwa kushiriki futari iliyoandaliwa katika Hoteli ya Movenpick jana maalum kwa wateja wake.
Wageni waalikwa ambao pia ni watejawa Vodacom wakipokea zawadi zao kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo (kulia) baada ya futari  maalum iliyoandaliwa na kampuni hiyo  k atika Hoteli ya movenpick jana.
Wateja wa Vodacom wakifuturu katika futari maalumu ilioandaliwa na Kampuni hiyo katika hoteli ya movenpick jana
Mtoa burudani akiburudisha wageni waalikwa, watejawa Vodacom na baadhi ya wafanyakazi waliohudhuria futari maalum iliyoandaliwa na Kampuni hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.