Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam, wakifanya katika mazoezi ya pamoja yaliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi Vodacom, ikiwa ni siku maalum ya mazoezi iliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Posta Kijitonyama jijini chini ya udhamini wa Vodacom Kazi ni Kwako.
Hapa ni tizi tu kwa kwenda mbele hii ni kwa afya, Kazi ni Kwako!
No comments:
Post a Comment