Habari za Punde

*KASEBA ATAMBA KUMCHAPA MTAMBO WA GONGO

Bondia, Japhet Kaseba akiwa katika mzoezi makali kwenye Kambi yake iliyopo Mwananyamala jijini Dar es Salaam, akijiandaa na pambano lake la kirafiki na Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo', linalotarajia kufanyika mwanzoni mwa mwezi ujao.
Kaseba, akiendelea na mazoezi kambini kwake.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.