Habari za Punde

*MABADILIKO YA HARAMBEE UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA

Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika Jumuiya ya Watanzania nchini Uingereza TANZ- UK inawaomba radhi wanajumuiya na watanzania wote kuwa shughuli za fund-Raìsing zilizokuwa zifanyike katika ubalozi wetu nchini Uingereza katika jiji la London, siku ya jumamosi tarehe 17 Septemba 2011 saa nane mchana zimeahirishwa.

Taarifa zaidi zitawafikia hapo baadaye, tutawajulisha punde tu tutakapo pata habari kamili. Tafadhali mjulishe na mwenzako

ASANTENI
MWENYEKITI,
TANZ-UK

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.