Habari za Punde

*MATUKIO MBALIMBALI YA ZIARA YA MBUNGE WA JIMBO LA MVOMERO AMOS MAKALLA

MBUNGE WA JIMBO LA MVOMERO, AMOS MAKALLA, KUZUNGUMZA NA WANANCHI PAMOJA NA KUTOA MISAADA YA AINA MBALIMBALI VIKIWEMO VITABU VYA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI KATIKA SHULE YA SEKONDARI WAMI ,ILIYIPO KATA YA DAKAWA PAMOJA NA SEKONDARI YA MVOMERO.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza Mbunge huyo, wa Mvomero, Amos Makala.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.