Habari za Punde

*MBABE KATI YA MIYEYUSHO NA MBWANA KUJULIKANA 'SOON'

Bondia Fransic Miyeyusho (kushoto) naMbwana Matumla kulia wakitunishiana misuli wakati wakitambulishwa na mratibu wa pambano lao Mohamed Bawazir kuhusu pambano lao la kuwania ubingwa wa Mabara (UBO) wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam jana, utakaofanyika mwishoni mwa mezi ujao.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.