Habari za Punde

*MWENYEKITI WA WAMA MAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 11 YA SHULE YA BARBRO JOHANSSON

  Mke wa Rais  na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete, Mwenyekiti  Mwanzilishi , JOHA TRUST Prof. Anna Tibaijuka pamoja na Uongozi wa shule hiyo yamfano ya Sekondari ya wasichana ya Barbro Johansson iliopo Luguruni Dra es Salaam wakitembelea na kukagua vifaa vya shule hiyo wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 11 ya shule hiyo yaliyofanyika jana. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
 Baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo, wakifurahia na kupiga makofi wakati wa hafla hiyo.
 Wanafunzi wakiimba wakati wakitoa burudani mbele ya mgeni rasmi Mama Salma Kikwete.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akimpongeza  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mbunge wa Muleba Kusini na Mwenyeliti wa Mwanzilishi wa JOHA TRUST Prof. Anna Tibaijuka.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.