Habari za Punde

*NGUVU YA MASIKINI NI NGUVU ZAKE HATARI LAKINI SALAMA

Mwendesha Baiskeli ya miguu mitatu, akiwa amebeba mzigo uliozidi uwezo wa usafiri wake na kukatiza katika barabara ya Mandera huku akipishana na magari jambo ambalo ni hatari. Baiskeli hiyo ilikuwa ikitembea huku ikiyumba kutokana na kuzidiwa uzito jambo lililomfanya dereva huyu muda mwingine kushuka na kukokota.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.