Habari za Punde

*SEWE KUZICHAPA NA SHAULI MWISHONI MWA MWEZI UJAO

Kocha Mkongwe wa mchezo wa ngumi Nchini, Habibu Kinyogoli 'Masta' (kushoto) 'akimkoch' bondia, Issa Sewe wakati wa maoezi ya kambi ya Ilala yanayoendele.  

Sewe anajifua kwa mazoezi makali maalum kwa kujiandaa na pambano lake na Ramadhani Shauli linalotarajia kufanyika mwishoni mwa mwezi ujao.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.