Heri akifurahia jambo na aliekuwa Rais wa serikali ya wanafunzi chuoni hapo Timothy Chelula (TC). Kushoto na kulia ni dada zake Mwani na Rehema Nyangassa ambao walijumuika pamoja nae katika furaha ya kuhitimu mafunzo hayo.
Heri Nyangassa akiwa na Rafiki yake Gerald baada ya kutunukiwa vyeti katika mahafali ya 23 ya chuo cha sanaa Bagamoyo (TaSuba) mwishoni mwa wiki iliyopita. Heri alitunukiwa Cheti baada ya kumaliza Astashahada (Diploma) ya Sanaa za maonyesho ya jukwaani.
No comments:
Post a Comment