Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azan, akimvisha mkanda wa ubingwa unaotambuliwa na chama cha mchezo wa ngumi za kulipwa PST, bondia Japhet Kaseba, baada ya kumtwanga mpinzani wake, Maneno Oswald, kwa Point katika pambano lao lililofanyika jana jioni jijini Dar es salaam jana.
Bondia Japhert Kaseba (kushoto) akimwadhibu mpinzani wake Maneno Oswald wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa PST uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa pointi. |
Picha ya juu:- ni Bondia,Alan Kamote wa Tanga akinyoshwa mkono juu na mwamuzi wa pambano, Yasin Abdalah, baada ya kumshinda mpinzani wake,Yohana Robert, wa Dar kwa pointi na kutawazwa kuwa bingwa wa kg.60 wa chama cha mchezo wa ngumi za kulipwa TPBO katika pambano lililochezwa viwanja vya Tangamano Mkoani Tanga mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment