Habari za Punde

*CCM WAANZA 'KUSEBENEKA' NA MATOKEO YA AWALI IGUNGA

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba na wana-CCM wengine waliokuwa wakifuatilia matokeo kutoka kwa mawakala walio kwenye vituo katika uchaguzi mdogo jimbo la Igunga ,wakishangilia baada ya CCM kuonyesha matumaini ya kuongoza katika matokeo ya awali usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.