Habari za Punde

*MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUNAWA MIKONO DUNUANI-

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwaonyesha watoto zoezi la jinsi ya kunawa mikono kwa sabuni wakati wa maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani yaliyofanyika leo,  katika viwanja vya Karimjee.Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Wasanii wa Kikundi cha Orijino Comedy wakionyesha zoezi la kunawa mikono wakati wa maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani lililofanyika leo jijini Dar es salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete hayupo pichani.
Wanafunzi wa shule ya Msingi wakitoa burudani jukwaani, wakati wa sherehe hiyo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara ya afya na Ustawi wa Jamii pamoja na wawakilishi wa watoto waliokuwepo kwenye maadhimisho hayo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.