Habari za Punde

*OFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi akitembelea mabanda ya maonesho ya miaka 50 ya Uhuru ya Ofisi ya Waziri Mkuu yaliyoanza juzi katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, ambapo alitembelea mabanda mbalimbali na kujionea shughuli zinazofanywa na Idara, Taasisi na Wajasiriamali katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Ofisi hiyo. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Bw. William Lukuvi akitembelea mabanda ya maonesho ya miaka 50 ya Uhuru ya Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.