Wahitimu wa Shahada ya Sanaa ya Mawasiliano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira, Jeff Shelembi, Leonard Magomba, Emmanuel Kwitema na Paul James almaaruf PJ wa Clouds FM wakijadiliana jambo baada ya kuvishwa shahada zao katika mahafali ya chuo hicho yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam.
KAKOLA FC CHAMPIONS OF THE BARRICK BULYANHULU SPORTS BONANZA
-
Kakola FC has won the Mahusiano Sports Bonanza Cup after beating
Ng'wasabukamabo 3-0 in the final and taking home the trophy along with
various priz...
49 minutes ago
No comments:
Post a Comment