Habari za Punde

*RAIS JAKAYA AFUNGUA MKUTANO WA MAJADILIANO YA SEKTA ZA UMMA NA BINAFSI

  Rais Dkt Jakaya Kikwete akizungumza wakati akihutubia katika ufunguzi wa majadilino ya sekta za umma-na-binafsi katika kusawazisha uwiano wa kodi katika Afrika Mashariki (Regional Public Private Dialogue on the harmonisation of domestic taxes in the EAC) ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania leo.
 Rais Jakaya Kikwete, akisindikizwa na Waziri wa Afrika Mashariki Samwel Sitta wakati akiingia ukumbini humo kufungua majadiliano hayo..
Baadhi ya wadau waliohudhulia mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.