Habari za Punde

*TABORA YAKUMBWA NA UHABA WA MAFUTA SIKU YA NNE


Tatizo la uhaba wa mafuta laukumba mkoa wa Tabora, kwa siku nne hadi leo ambapo madereva wa magari na pikipiki wamekuwa wakihaha kusaka mafuta kila kona ya mji wa Tabora.

Pichani ni baadhi ya madereva wa magari na pikipiki wakia katika foleni ya kusubiri huduma ya mafuta katika moja ya kituo cha mjini humo. Picha naLatestnewstz.blogspot.com




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.